Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Leo huku Instagram pamechafuka hasa baada ya Video kuvuja ikionyesha Nandy na Bilnass Wakiwa Kitandani Wakifanya yao...

Nandy Ameandika haya baada ya Video hiyo kuvuja:

From @officialnandy - Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba radhi SANA SANA familia yangu, Ndugu zangu, Mashabiki wangu na Serikali kwa kilochotokea ...Bado siko sawa.. naomba mniombee uzima

Post a Comment

 
Top