Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Patoranking Atua Bongo..... Ampa Shavu Msanii wa Bongo
MSANII maarufu wa Nigeria, Patoranking ametua Bongo kwa ajili ya kumtambulisha msanii mpya wa Tanzania, Walid ambaye amemsainisha kwenye Record Lebo yake iitwayo iitwayo Amari Music.

Baada ya kutua Bongo, Patoraking alifunguka kuwa alikutana na Walid nchini Holland miaka miwili iliyopita na msanii huyo alipomsikiliza nyimbo zake, Patoraking aliipenda kazi ya kijana huyo na kumuahidi ndani ya miak miwili angemchkua na kumsainisha kwenye lebo yake hiyo mpya.

Aidha, Patoraking alisema kwa sasa tayari amefanya nyimbo mbili akishirikiana na Walid ambazo zimeshatoka na kusema msanii huyo ndiye anamuandikia mashairi yake kwa lugha ya kiswahili.Patoraki

Post a Comment

 
Top