Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amejumuika na waombolezaji wengine kuaga mwili wa marehemu Mzee Sylivester Lubala Shimba, baba mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula, Mikocheni jijini Dar es salaam leo April 12, 2018.
Home
»
»Unlabelled
» RAIS MAGUFULI KATIKA MSIBA WA BABA MZAZI WA NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






Post a Comment