Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Shirika la Umeme nchini, TANESCO limetangaza kukosekana umeme katika maeneo mengi nchini kutokana na hitilafu iliyosababishwa na radi kupiga mifumo ya usambazaji wa umeme katika gridi ya taifa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Dkt. Titus Mwinuka amesema “Kutokana na tatizo la umeme limejitokeza TANESCO tumefanya juhudi kurejesha hali ile, tulianza kurejesha Tanga, Chalinze kupitia kituo cha New Pangan, Dodoma kupitia kituo cha Mtera na sehemu ya kituo cha kidatu, ila sehemu kubwa bado hawajapata umeme”

Post a Comment

 
Top