MAMA mzazi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Mashaka Gambo, Bi. Rehema Paulo Momburiamefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Aprili 13, 2018 katika Hospitali ya The Madras Medical Mission – Chennai nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Akitoa taarifa hiyo, RAS wa Arusha amesema;
“Ninasikitika kuwataarifu kifo cha Bi Rehema Paulo Momburi mama mzazi wa Mkuu wa Mkoa Arusha,Bw. Mrisho Mashaka Gambo, kifo kimetokea usiku wa kuamkia leo 13/4/2018, huko Hospitali ya Madras Medical Mission Chenai India, mipango ya msiba mtajulishwa baadaye.”
Bi. Rehema Paulo Momburi apumzike kwa amani!







Post a Comment