Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Leo April 14,2018 staa wa muziki wa Bongo Fleva Vanessa Mdee ametupa good news kupitia instagram account yake baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa nchini Nigeriaya Headies 2018 kwenye kipengele cha msanii bora ambaye sio Mnigeria lakini anaushawishi na amepenya kwenye soko lao la muziki.

Vanessa Mdee ameandika “Hardly Home But Always Representing 🇹🇿 Nimechaguliwa kuwania Tuzo kubwa Nigeria ya #Headies2018kwenye kipengele cha msaani Bora ambaye sio mnigeria lakini anaushawishi na amepenya kwenye soko lao. TZ to the world, kazi iendelee”
Katika kipengele cha msanii bora ambaye sio Mnigeria lakini anaushawishi katika soko la muziki nchini Nigeria Vanessa Mdee anashindanishwa na wasanii kamaSarkodie(Ghana), Casper Nyovest(South Africa), Nasty C(South Africa), Sauti Sol(Kenya)

Post a Comment

 
Top