Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Muigizaji na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu amekuja na good news leo April 20,2018baada ya kuonyesha bidhaa zake za lipsticks Wema Sepetu Liquid Matte Lipstickskupitia ukurasa wake wa instagram ikiwa hii ni mara ya pili kwa Wema Sepetu kufanya biashara kama hiyo.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Wema Sepetu ameandika ujumbe kuwa lipsticks hizo za Wema Sepetu Liquid matte kwa sasa zipo sokoni na zipo tayari kwa kuuzika na zinapatikana katika rangi tano tofautitofauti.
”Hatimaye! Mabibi na Mabwana Wema Sepetu Liquid Matte Lipsticks ziko sokoni sasa”

Post a Comment

 
Top