Shirika la utangazaji la Unginereza maarufu kama BBC ni moja kati ya mashirika makubwa ya habari duniani na yenye heshima kubwa kila kona ya dunia, licha ya BBC kuwa na utamaduni wa kutoa tuzo na kutambua michango ya watu mbalimbali kutoka tasnia tofauti tofauti.
BBC wametaja list ya wanawake 100 wenye ushawishi, BBC imetaja list hiyo na kwa upande wa bara la Afrika wametajwa wanawake nane na huku Afrika Mashariki wakitajwa wanawake watatu wanaotokea Kenya ambao ni Adelle Onyango, Anita Nderu , Naomi Mwaura.
Anita Nderu wa Radio na TV
Wanawake wengine wa Afrika waliyofanikiwa kupata heshima ya kutajwa na BBC katika list hiyo kutokea Afrika ni pamoja na muimbaji kutokea Nigeria Tiwa Savage, Chaima Lahsini wa Morocco, Ellen Johnson Sir leafwa Liberia, Marieme Jamme wa Senegal na Talent Jumo wa Zimbabwe.
Adelle Onyango ni mtangazaji wa Radio
Naomi Mwaura ni Founder, Flone Initiative and Communications Associate wa ITDP Afrika






Post a Comment