Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
unnamed
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles aliyefika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo.

10
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Post a Comment

 
Top