Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais kwa mazungumzo,Ikulu jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke ambaye alimtembelea Makamu wa Rais kwa mazungumzo ofisini kwake,Ikulu jijini Dar es Salaam
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais






Post a Comment