Msanii filamu nchini Tanzania, Blandina Chagula maarufu kama Johari kwa mara ya kwanza amekiri kuwa na mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 3 japokuwa mpaka sasa hataki kuweza wazi kama amezaa na Ray Kigosi au laa.
Johari ameeleza hayo wakati alipokuwa anajibu swali la Mwajuma Kawina aliyetaka kujua maendeleo ya mtoto wake aliyempa jina la Maria
"Maria hajambo kabisa, yupo nyumbani. Siwezi kumuingiza mwanangu katika kuigiza maana huwezi kufahamu kipaji cha mtu akiwa bado mdogo maana ndio kwanza ana miaka mitatu", amesema Johari.

Post a Comment