Mbunge wa jimbo la Mtama kwa
tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Nape Nnauye ameteuliwa na Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai kuwa Mwenyekiti wa
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii.
Spika Ndugai kupitia taarifa yake ya Machi 12, 2018 alitoa
orodha ya majina ya Wabunge mbalimbali ambao wameteuliwa katika kamati
mbalimbali za kudumu za Bunge ambao watahudumu katika kamati hizo mpaka mwaka
2020.
Wabunge wengine
ambao wameteuliwa katika kamati hizo ni pamoja na Serukamba, Chenge, Zungu,
Hawa Ghasia








Post a Comment