Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwanamuziki anayefanya vizuri kwenye Bongo-fleva, Nandy akiwa na mwanamuziki mwenzake, Billnas.
BINTI anayefanya vizuri kwenye Bongo-fleva, Nandy alishafunguka kipindi cha nyuma kuwa kama kutoa penzi ni bora kwa mwanamuziki mwenzake, Billnas na sio Dogo Janja kama wanavyosema watu.

Leo Picha za wawili hao zimevuja kwenye mitandao ya kijamii wakiwa pamoja huku mashabiki wao wakishangilia kuwaona wakiwa wote na wamewapongeza kuwa waendelee kuwa pamoja.
Mashabiki walienda mbali kwa kusema wanapenda kuona ndoa ya wasanii hao.

Post a Comment

 
Top