Msanii wa filamu, Shamsa Ford akiwa anasherekea miaka miwili ya ndoa yake , ameibuka kwa kudai kwamba ikitokea mume wake anataka kuoa mke wa pili basi ataomba talaka. Mwigizaji huyo amedai hawezi kuishi mbali na mume wake huyo kwa madai ana wivu uliopitiliza.
Home
»
»Unlabelled
» SHAMSA FORD : MUME WANGU AKITAKA KUOA MKE WA PILI ANIPE TALAKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






Post a Comment